Unknown Unknown Author
Title: HALI YA SHUMACHER YAIMARIKA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langalanga ya F1, Michael Schumacher ameanza kuonyesha hali ya kupata fahamu ...
140404122707_michael_schumacher_304x171_getty_nocredit_5957a.jpg
Bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langalanga ya F1, Michael Schumacher ameanza kuonyesha hali ya kupata fahamu baada ya miezi kadha ya kuwa katika hali ya kutojitambua.
Wakala wake Sabine Kehm amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari amesema Schumacher "anaendelea vizuri", akisema kwamba wana "uhakika"wa kupona kwake.
Madaktari nchini Ufaransa wanafanya jitihada za kumwondoa katika hali ya kutojitambua, bingwa huyo mara saba wa F1.

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top