Unknown Unknown Author
Title: HAYA SASA MASHINDANO YA INTERFACULT CHUO KIKUU SOKOINE LIVE NA MJUMBE BLOG
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 Hatimaye mashindano  ya vitivo(facult) zilizo katika chuo kikuu cha Sokoine (SUA) yameanza leo kwa kuwakutanisha mabingwa watetezi kitivo c...
 Hatimaye mashindano  ya vitivo(facult) zilizo katika chuo kikuu cha Sokoine (SUA) yameanza leo kwa kuwakutanisha mabingwa watetezi kitivo cha uhandisi(ENGINEERS) na kitivo cha tiba ya wanyanma(VETERINARY MEDICINE) na hivi ndivyo mambo yalivyokua uwanjani hapo live na kamera yetu


Hiki hapa ni kikosi cha Madaktari mifugo wakipata machache baada ya kipindi cha kwanza














Na hiki hapa ni kikosi cha wahandisi wakiwa mapumzikoni.
Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa timu hizi ktoshana nguvu kwa kila moja kutochungulia lango la mwenzie japo timu ya wahandisi ilionekana kuutawala mchezo,
Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kuonesha ufundi wao na kucheza mpira wa  kasi lakini mwisho wa dakika tisini timu ya wahandisi waliibuka na ushindi wa magoli 2-0 na kusonga mbele na mashindano hayo
Mashabiki nao walikua na yao baada ya mechi kuisha embu tazama baadhi ya picha baada ya mchezo

Nae huyu na vuvuzela lake..upande wa wahandisi ilikua ni burudani


Hapa mashabiki wa timu ya wahandisi wakishangweka baada ya timu yao kuwapa raha
Mshindano haya yanaendelea tena kesho na kamera yetu itakuwa pamoja na wewe.
Na Mjumbe Jr
SUA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top