Unknown Unknown Author
Title: MATUKIO KATIKA PICHA:CCM INA TESA CHALINZE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mke wa Ridhiwani Kikwete ,Arafa akimuombea kura mumewe kwa wananchi wa kata ya Pera Mwigulu Nchemba akimnadi mg...

arafa_3cff8.jpg
Mke wa Ridhiwani Kikwete ,Arafa akimuombea kura mumewe kwa wananchi wa kata ya Pera
nchemba_eed37.jpg
Mwigulu Nchemba akimnadi mgombea wa ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete.
nape_7b5a8.jpg
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi  Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Pera na kuwaambia mwisho wa wapinzani Chalinze ni tarehe 6 siku ya kupiga kura.
19_d3dcb.jpg
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni Ndugu Salum Madenge akihutubia wakazi wa Pera ,Chalinze wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya michezo Pera Shuleni.
che_ef149.jpg
Kila mwenye uwezo wa kucheza alicheza.
wananchi_22cb3.jpg
Picha Na AD


MJUMBE SR

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top