Unknown Unknown Author
Title: REJEA YETU LEO:RASMU YA KATIBA SI MAWAZO YA WARIOBA NI MAPENDEKEZO NA MAWAZO YA WANA NCHI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
FYONZO TENA KWA MWAJIRI WANGU MKUBWA! FYOOOOO UTAJISIKIAJE? Jamaa yako wa Mbali kila siku anakupigia simu kuwa ame misi yale mapishi ya...
FYONZO TENA KWA MWAJIRI WANGU MKUBWA!
FYOOOOO

UTAJISIKIAJE?
Jamaa yako wa Mbali kila siku anakupigia simu kuwa ame misi yale mapishi yako ya Kisamvu unayo pikaga....
Siku anakuja kukutembelea Anakukumbusha tena Umpikie kisamvu....
Ume jipiga piga Ukavuka hata Kijiji cha pili kwenda kutafuta kisamvu....
Ukakipika... Alipo fika Ukamwandalia mezani! Unakuja Kugundua baadaye kumbe Kisamvu chako alikimwagia kwenye Kopo la Taka(Dust bin) na Alikuwa anatumia Kitimoto aliyo toka nayo kwake.... Hali anajua wazi kuwa Imani yako Haikuruhusu Kutumia Kitimoto.


#‎ANGALIZO‬ Katiba Mpya
:SIO MAONI YA WARIOBA;NI MAONIN YA WANA NCHI.


ELASTO MBELLA
 NJOMBE

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top