
Nahodha Msaidizi wa Azam fc Salum Abubakar;
ameteuliwa kuwa Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba 2014!
Timu nzima ya MJUMBE BLOG ina toa Pongezi za dhati ya Moyo kwake "Salum Abubakar" kwa heshima kubwa aliyo pewa!
Rai yetu:Heshima sio kitu cha bure,ilinde ili isipotee!!
HONGERA SANA.
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni Andika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo upate Picha,Matangazo,Habari Mpya,Taarifa Muhimu kila mara.
© Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment