Unknown Unknown Author
Title: KUTANA CALVIN MSOMI HUYU MWENYE SHAHADA ANAYE OKOTA MAKOPO!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Huyu ni moja kati ya vijana walio amua kujiajili kwa kuokota Makopo na Kwenda Kuyauza. Anaitwa Calvin,ana miaka 29! Anakwambia ame maliza ...

Huyu ni moja kati ya vijana walio amua kujiajili kwa kuokota Makopo na Kwenda Kuyauza.
Anaitwa Calvin,ana miaka 29! Anakwambia ame maliza shahada ya Biashara na sasa ana miaka mitatu tangu ahitimu na hana ajira na hana Mtaji.Aka amua kujiajiri na kazi hii.
Picha Hisani ya EAT tv

Naam;
USOMI ni Kazi.
Kazi ni Kazi!
Tusichague Kazi.
Maana Matumizi ya Elimu ni Kwa mwenye Elimu na Jamii yake.

Kukaa na Kusubiri Ajira za Kusailiwa Uwanja wa Taifa sio USOMI!!
Usomi ni Kushiriki katika jitihada za Kutatua Changamoto zinazo ikabili jamii yako na wewe Mwenyewe.

KWA NJIA YOYOTE ISIYO VUNJA HESHIMA,UTU NA TARATIBU ZA NCHI!!

Na Ndiyo Maana Hata Malcom X alisema "by any means Possible"

HONGERA CALVIN!!
Wewe ni Mfano wa Kuigwa.
Wewe sio wale wanao ishia Kulaumu tu bila Kuchukua Hatua.

BIG UP!!




LIKE Ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni andika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate Picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa Muhimu.


©Mjumbe Blog Vokunteers.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top