Unknown Unknown Author
Title: PICHA:UJENZI KITUO KIPYA CHA DALADALA UBUNGO WAKAMILIKA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni Mwonekano wa Sura mpya ya kituo kipya cha kisasa Ubungo! Serikari Ime kamilisha Ujenzi wa kituo kipya cha kisasa cha dala dala Ub...




Ni Mwonekano wa Sura mpya ya kituo kipya cha kisasa Ubungo!


Serikari Ime kamilisha Ujenzi wa kituo kipya cha kisasa cha dala dala Ubungo na hivyo kukifanya kuwa bora na cha Mfano nchini.
Wakiongea kwa nyakati tofauti watumiaji wa Kituo hicho Wame isifu serikari kuweka kamera za Ulinzi ili kupunguza wimbi la uhalifu katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam.
Na wengine wame enda mbali zaidi kwa kumusifia Mbunge wa jimbo la Ubungo kuwa ame fanya kazi nzuri katika kipidi cha awamu yake na hivyo wana kila sababu ya Kumurudisha tena ili awa tumikie na kuwa letea Maendeleo zaidi katika jimbo lao.


Picha zote Mali ya Kamgisha Kaizer.




LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa Kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo upate Picha,Matangazo,Habari Mpya na Taarifa Muhimu kila mara.

©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top