
Eneo la shule ya Msingi Mpandamlowoka lililoko Mkoani Tabora.Kwenye Mti huu ndipo Mahali pekee ambapo Network(Mtandao) inapatikana.Kopo hili Walimu hukitumia kuweka simu ili ziingie Ujumbe mfupi(sms) wakiwa Darasani.
Credit:Malisa Godlisten
Neno la Utani:
Bila shaka Wenzetu hawa Simu zao Muda mwingi wanazitumia Kama Kurunzi(Tochi) au Kusikilizia Mziki!
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG Facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate Picha,Matangazo,Habari Muhimu na Taarifa Mpya kila Mara.
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment