Pichani juu ni alicho kiandika Zitto Kabwe baada ya viongozi wa UKAWA kuonekana waki gawana Madaraka,kupitia gazeti moja maarufu nchini!Siku chache tu baada ya Vyama vya Upinzani vinne CUF,NLD,CHADEMA na NCCR MAGEUZI
Kutiliana sahihi Mkataba wa Kusimamisha Mgombea mmoja Kwenye uchaguzi mkuu 2015.Ngazi mbali mbali za uongozi.
Aliye wahi kuwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Zitto Kabwe Ame kaririwa aki waita Viongozi hao "WASAKA TONGE" na Kuwatabiria kuto fika popote kwasababu ya Uchu wao wa Madaraka!
Jambo ambalo lime pokelewa kwa mitazamo tofauti na kuzua mjadala Mkubwa mitandaoni Kwa wachangiaji walipo Amua kumwelezea Zitto Kabwe Kama Msaliti na Aliye amua kuwapiga vita UKAWA kwa wivu wa kutoshirikishwa na Kuona ndoto zake za kuwagawa Zina zidi kuota mbawa na kufifiza matamanio yake!!
wame onesha kuto kubaliana na Mtazamo wake na kusema 'ame firisika kisiasa...
Ni pandikizi na Ni Mpinzani anaye pinga Upinzani na Wakazidi kusema ame nunuliwa kama wana siasa wengine walio wahi kutikisa nchi na Serikari ya chama tawala enzi zao lakini Leo yamebaki Majina yao tu na wame potezwa kisiasa kabisa na wengine wali sema; ndio mwisho wake kisiasa!!
Wali kaririwa wachangiaji hao!
Maneno hayo yana kuja baada ya Zitto kabwe kuwa Shambulia Viongozi wa UKAWA na Kusema Wapo bize kugawana madaraka wakati nchi inapitia katika Wakati Mgumu!
Wakulima mazao yao hayana Soko n.k

Chanzo:Mjadikiano Ukurasa wa Zitto na Serial wa Facebook
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate Picha,Matukio Muhimu,Matangazo,Habari Mpya kila mara.
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment