Unknown Unknown Author
Title: MAMBO MAWILI MUHIMU YALIYO JILI KATIKA KIKAO CHA BUNGE,LEO DODOMA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bunge maalum la katiba lime Ahirishwaa kwa Kutoa Tangazo la Kufanyika uchaguzi wa Mwenyekiti wa kudumu kesho saa 10 kesho.Fomu za kuwania...

Bunge maalum la katiba lime Ahirishwaa kwa Kutoa Tangazo la Kufanyika uchaguzi wa Mwenyekiti wa kudumu kesho saa 10 kesho.Fomu za kuwania nafasi hiyo,zinapatikana katika ofisi ya katibu wa baraza la wawakilishi.

Pia Mwenyekiti wa kamati ya kanuni amewasirisha azimio la kuunga mkono kanuni za bunge maalumu,wabunge wengi wame onekana kuunga mkono azimio hilo.
 Mchungaji Christopher Mtikila amemulalamikia mwenyekiti wa muda wa bunge hilo ndg Pandu Amir Kificho kutompa Nafasi ya kuchangia maoni yake.

Mpaka sasa Suala la kura ya Wazi au Siri Halijafikiwa muafaka na wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba.
Chanzo:Jf

MJUMBE sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top