MJUMBE BLOG

KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA

Thursday, 30 June 2016

ALIYE KUWA ANAHAMISHA KATI YA SHILINGI MILION 7 au 8 KILA DAKIKA,ADAKWA NA MAGUFULI!

›
'Tulikuwa tunafuatilia kwenye revenue, yuko mtu mmoja alikuwa anafanya transaction ya fedha kila dk 1 kati ya milioni...
Wednesday, 29 June 2016

"HARAMBEE" UKARABATI OFISI YA WALIMU LUNGWA:WAJUE MADIWANI WANNE WA CCM WALIO SHIRIKIANA NA WANANCHI WAO!

›
Pichani kutoka kushoto ni Diwani wa Viti maalumu Bi Mbaya Isabela ambaye ni mwenyekiti wa wanawake wilaya,Anaye fuatia ni Ndugu Barton Si...

PITIA PICHA HIZI:UNGEKUA WEWE NDO MZAZI WA WATOTO HAWA UTAFANYAJE?

›
Picha ya kwanza unakuta Mwanao kanyofoa vibofyeo vyako vya Kopunta Mpakato yako kama hivyo Unarudi toka sokoni kununua mboga unapo enda ...
Tuesday, 28 June 2016

KURASA ZA MAGAZETI:LEO JUMATANO JUNE 29 2016!

›
Tuma Maoni

UFAFANUZI KUTOKA NBS:KUHUSU UKIMWI KUPIMWA NYUMBA KWA NYUMBA!

›

MAARIFA YA JAMII:IJUE "MITI" MAARUFU TANZANIA HAPA!

›
Like Page ·  Ifuatayo ni baadhi ya miti maarufu Tanzania iwe ili pandwa au ilijiotea yenyewe.Baadhi ya miti imekuwa kivutio kutokana ...

HII NDIO ADHABU YA KUTOA TAARIFA ZISIZO PASWA KUTOLEWA!

›
"Mtu yeyote ambaye atatoa taarifa kuhusu mamlaka za serikali (taarifa zisizopaswa kutolewa hadharani) akikutwa na hatia atafungw...

TUNALINDWA...! HATA MAADUI WATAKAPO TUZINGIRA...! TUPO SALAMA!

›

JENERALI ULIMWENGU:USIPO FANYA SIASA CHUONI,KAMA ITAWEZEKANA USIJE UKAINGIA KWENYE SIASA MILELE!

›
“IF YOU DO NOT DO POLITICS AT UNIVERSITY, THEN MAYBE YOU SHOULD BE BARRED FROM ENTERING POLITICS FOREVER,” Jenerali Ulimwengu. “Unive...

MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UMMA:JACOB ZUMA KULIPA DOLA 500,OOO KAMA FIDIA!

›
#KIMATAIFA :Wizara ya Fedha ya Afrika Kusini kwa amri ya Mahakama ya Katiba , imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kulipa Dola 500,00...

ASKARI WA FFU JELA MIAKA 30,VIBOKO 12 NA FAINI YA FEDHA KWA KUMBAKA MWANAFUNZI WA SEKONDARI....!

›
Picha ni kutoka kumbukumbu za Maktaba ya MJUMBE BLOG haihusiani na tukio. ASKARI wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Raphael Mako...

USOME HAPA UUMBE ALIO UANDIKA THOMAS ULIMWENGU KWA MASHABIKI....!

›
›
Home
View web version
Powered by Blogger.