Taarifa
ambazo zimethibitishwa na tovuti ya Yanga kuhusu kunusurika ajali bus
walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kurudi Dar baada ya kumalizika
kwa mchezo kati yao na Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro mechi ambayo
ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
Wakati wanarudi asubuhi ya leo Bus la timu yao ambayo lilikuwa
limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali
eneo na Mikese Mizani baada ya Mabus yaliyokua yakitanua kuelekea mikoa
ya bara kuziba njia na kusababisha kutumbukia kwenye mtaro.
Katika
ajali hiyo iliyotokea majira ya saa tatu na nusu asubuhi hakuna mtu
yeyote aliyejeruhiwa na kwa sasa timu inaondoka na usafiri wa bus
jingine kuelekea jijini Dar es salaam






BASI LA YANGA LAPATA AJALI LEO ASUBUHI
Title: BASI LA YANGA LAPATA AJALI LEO ASUBUHI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa ambazo zimethibitishwa na tovuti ya Yanga kuhusu kunusurika ajali bus walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kurudi Dar ba...
Post a Comment