BUNGE MAALUM LA KATIBA LIMEAHIRISHWA KUTOKANA NA KUIBUKA KWA VURUGU!
Mwenyeketi wa Muda wa bunge maalu la katiba ameamua kuahirisha kikao baada ya kuibuka majibizano yaliyo ashiria uvunjifu wa Amani,ambapo baadhi ya wajumbe walionekana kutangukiza itikadi zao za vyama.
Post a Comment