Tundu Lissu awaka, adai CCM hawachomokiBAADA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukwama kumdhibiti Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aondoe pendekezo la muundo wa Muungano wa Serikali Tatu kwenye Rasimu ya Pili, kimeamua kutumia Bunge Maalumu.
Tanzania Daima Jumapili limedokezwa kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya kubaini kwamba wajumbe wake katika Bunge Maalumu la Katiba hawana msimamo wa pamoja kuhusu muundo wa Muungano.
CCM inataka muundo wa serikali mbili kwa madai zina gharama nafuu huku mapendekezo ya Tume ya Warioba katika rasimu ya pili yakitaka serikali tatu.
Na Mjumbe Jr
Mbeya
Post a Comment