Unknown Unknown Author
Title: HUYU ASKARI MWENYE BIDII HATIMAYE AMEJISHINDIA MILION MBILI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mosses Alphoge kipokea Zawadi yake kutoka kwa Kamanda wa Kanda maalum ya Dr es Salaam,Suleiman Kova. Askari huyu amekuwa akijituma vilivy...
Mosses Alphoge kipokea Zawadi yake kutoka kwa Kamanda wa Kanda maalum ya Dr es Salaam,Suleiman Kova.
Askari huyu amekuwa akijituma vilivyo pale Darajani Malalakuwa,Kawe! Amedaiwa kuwa hakimbii mvua,yuko Asubuhi mapema,Mchana na Usiku hachoki.
Wasikilizaji wa Cloud na wafanyakazi wa Vodacom wame mchangia kama ishara ya Kutambua Uwajibikaji wake katika kazi na bidii zake za kipekee.

chanzo:Jf

MJUMBE sr
13 Mar 2014

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top