Unknown Unknown Author
Title: KAMPENI KALENGA:ITAZAME PICHA YA CHADEMA ILIYO IGUSA CCM PABAYA! PHILPO MANGULA ALALAMA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philipo Mangula adai CHADEMA haina utu na kwamba wanalia machozi ya mamba. Ameenda mbali na kuonya CHADEMA ...
Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philipo Mangula adai CHADEMA haina utu na kwamba wanalia machozi ya mamba.
Ameenda mbali na kuonya CHADEMA Kutumia ufukara wa Wa Tanzania kutafuta madaraka Anadai kusikitishwa na kitendo cha CHADEMA kuonesha mazingira magumu ya mtoto wa Shule.Kwa kumpiga Picha na kuisambaza mitandaoni.
Pia ameitaka CHADEMA Kuacha siasa za chuki na mabavu....!
Chanzo:Ukurasa wa BAVICHA

MJUMBE sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top