Unknown Unknown Author
Title: NAYA KUMBUKA SANA YALE MAJIBU YA KUPEWA....! NIME MISI ILE ELIMU YA KUKARIRI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
               PICHA:Na Maji maji Mtitu;Kijiji cha Amani,Mashambani Wadau Kiukweli Leo; "Nime yakumbuka sana yale majibu ya kupewa...
               PICHA:Na Maji maji Mtitu;Kijiji cha Amani,Mashambani

Wadau Kiukweli Leo;
"Nime yakumbuka sana yale majibu ya kupewa...! Nime imisi ile Elimu ya Kukariri"

.............Ogopa sana Majibu ya Kupewa! Ogopa sana Kukariri Majibu.Aliye Pewa Majibu huwa Mtimwa wa Mtoa Majibu,Anaye Kariri Hupumzika Kufikiri..!
Kuna kisa cha marafiki wawili walio Enda kuomba kazi,Mmoja kati ya hao alikuwa Haja jiandaa kwa kuhojiwa,alipo fika ofisini alianza kusikiliza majibu ya Rafiki yake ambaye yeye aliamini alikuwa amejiandaa! Bosi alimuuliza Nchi yako ilipata Uhuru lini,akajibu:Mwaka 1961! mara bosi akamwambia kesho aje kwa ajili ya Kuanza kazi! Jamaa aliye kuwa nje akaingia ndani,akaulizwa Jina lako unaitwa nani? yeye akajibu Mwaka 1961!

Teh! teh! Ogopa Sana Majibu ya Kupewa! Ogopa kukariri.Aliye kariri hupumzika kufikiri,Ndiyo maana kuna usemi kuwa AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NAZAKO.

Karibuni Kijijini
Karibuni Njombe
Karibuni Amani
MJUMBE sr
NJOMBE

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top