Unknown Unknown Author
Title: TRAFIKI AGONGWA NA GARI MOROGORO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
  Askari wa  kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtaw...

 
Askari wa  kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu  kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari.
Chanzo:Morogoro yetu
 
MJUMBE sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top