Kwa mujibunnwa taarifa za mitandaoni huko Zanzibar kumetokea vurugu,kupiga mawe magari ya serikali huku wafanyakazi wa serikali wakijeruhiwa .. Picha hapo juu inaonesha gari la Katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi mheshimiwa Khamis Musa likiwa limepinduliwa, katika gari hakuwemo katibu hyuo mkuu bali alikuemo dereva wake ambae mpaka sasa hali yake ina endelea vizuri!
chanzo:Mitandao ya kijamii
MJUMBE sr
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.