Unknown Unknown Author
Title: AJALI:BASI LA RATCO LINALO FANYA SAFARI ZAKE TANGA~DAR ES SALAAM LAPATA AJALI,ENEO LA KIBAHA PWANI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 Wananchi wakioka kwenye gari kupitia madirishani.  Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa. Basi la RATCO linalofanya safari za...
 Wananchi wakioka kwenye gari kupitia madirishani.
 Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa.
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani leo jioni Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipinduka upavu baada ya kuacha njia.

Endelea kuungana nasi... Tunaendelea na uchunguzi utapata habari zaidi badaae. 
CHANZO HABARI NA MATUKIO
MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top