Unknown Unknown Author
Title: FUNDI BAHATI WA NJOMBE MJINI! ANAJUA HABAHATISHI.... HANA MBWEMBWE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mjumbe BLOG a few seconds ago FUNDI BAHATI WA NJOMBE MAAJABU NA KWELI:JANA NIKIWA NJOMBE NILITAFUTA FUNDI KAMERA KILA KONA! N...

FUNDI BAHATI WA NJOMBE

MAAJABU NA KWELI:JANA NIKIWA NJOMBE NILITAFUTA FUNDI KAMERA KILA KONA!
NIKAWA NA INGIA KWENYE MILANGO ILIYO WEKEWA ALUMINIUAM,VIOO NA MATANGAZO MENGI UKUTANI YAKIONESHA KUNA WATAALAMU WA KAMERA MBALI MBALI.

Kila Mahali Nilipo Ingia Niliambiwa Huduma Hiyo Hakuna Mtaalamu.
Sizani Kama Kuna Kona Jana Ipo Njombe Mjini Imebandikwa Kamera Siku Ingia... Ilikuwa ni kama Ile Kampeni ya Door to Door na Man to Man.

Walio Onesha Weledi wao Wakani elekeza Nifike Mpaka Makambako! Huko naweza Pata Huduma zaidi.
Na Mwingine Akasema Kwakuwa Unaenda Mbeya kwanini Usifike kule ili Uwe na Uhakika Zaidi?

Bila Kujua Maisha yangu ni hiki ki Kamera Changu... na Kutembea Umbali wa kutoka Njombe hadi Mbeya Bila Kamera Mkononi nisawa na kukubali Kutembea Tukuyu Majira ya Masika Bila Mwamvuli...

Kilicho kuwa Kiki ni zunguka kichwani mwangu Muda wote Huoo ni "HIVI MPAKA LINI WABONGO TUTAACHA UBABA ISHAJI WA MAMBO?" Kila Jambo Tunalo Lifanya Tuna igiza! Tume kuwa Waigizaji Wazuri kuliko hata Wale THT Wanao Ishi kwenye jumba la Sanaa.Hakuna Uhalisia wa mambo yetu Mengi sana.Hii ni Hasara kubwa kwa Jamii na Taifa kwa ujumla wake.

Hamadi nika ingia Uchochoro flani Nika Peleka Tattizo la Kompyuta yangu kwa Fundi wangu.Siku Fanikiwa kukutana naye,lakini Nikawa na Nia ya kuomba msaada kama anamjua fundi Kamera maeneo yale... Akanielekeza Nenda Huko nyuma(Uchochoroni zaidi) Mlango wa Tano.Uliza "Fundi BAHATI".

Hapo Nika Shika Njia Nikapenyeza hadi Nilipo uona Mlango.Kwa Ujasiri nika Uliza Fundi Bahati yupo?
Wakasema Nimtafute kwenye Simu... Cha ajabu zaidi Pale Siku ndani Sikuona Meza za Vioo wala Kompyuta Moja wala Matangazo... Ila Kwa Uthubutu wa Imani Nika jipa Moyo kuwa Akikubari nita Risk tu hata aishike shike na kuirudisha kama ilivyo goma.

Jamaa aliye Fika pale ni wakawaida sana... Huwezi Mzania kwa Haraka! Akanisalimu Akaendelea na kazi zake,ikabidi nimuulize Samahani kaka wewe ndio BAHATI? Akajibu Naam,mimi ndiye! Unasemaje? Nika Mwambia Nina Kikamera Changu kime korofisha hapa Naomba Msaada wako Tafadhari,Akaiomba Kamera na kuanza kuifungua.... Hapo Roho yangu ipo juu juu ikisema MmH! Hata CheCkup hakuna?

Jamaa kumbe Yupo Nondo sana! Baada ya muda mfupi Kamera yangu ikarudi mahara pake.
Roho yangu ilinipwita nika FARAJIKA SANA.

SOMO Alilonipatia BAHATI Akasema kuhusu Huu Ufundi kinacho takiwa ni UAMINIFU TU NA UVUMILIVU kwasababu kua wateja wanaleta Bidhaa zina kaa hata Mwaka bila kugomboa.Ukiwa na Tamaa Unaweza Kuuza ili Upate Fedha Lakini Ukijua unafanya nini Unavumilia na Unafanya kazi za watu kwa Uaminifu zaidi ili Uthaminike na kupendwa kibiashara zaidi.

Zaidi ya Yote Aliniachia Somo Kuwa Kinacho Hitajika sio MATANGAZO Makubwaa wala Milango ya vioo Bali ni WELEDI WA KAZI UNAYO IFANYA!

#PONGEZI KWA BAHATI! PONGEZI KWA WELEDI KATIKA KILE ULICHO KICHAGUA KUKIFANYA.

BAHATI YUPO NJOMBE,MJINI ANAPATIKANA KWA MAWASIRIANO YA SIMU NI MTAALAMU WA KUREKEBISHA REDIO,LUNINGA,DEKI NA KAMERA.

MPIGIE  SIMU 0759 033950

  SR
Photo: FUNDI BAHATI WA NJOMBE 

BAHATI YUPO NJOMBE,MJINI ANAPATIKANA KWA MAWASIRIANO YA SIMU NI MTAALAMU WA KUREKEBISHA REDIO,LUNINGA,DEKI NA KAMERA ZA SIMU 0759 033950

#MJUMBE SR
MBEYA
PICHA NA MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top