Unknown Unknown Author
Title: KWA WALE WAPENZI NA MASHABIKI WA MBEYA CITY TAARIFA HII INA WAHUSU SANA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
  MBEYA City Council FC · Ndugu mashabiki ziko tetesi nyingi sana kuhusu wachezi wetu kuchukuliwa na timu zingine zinazojiita ...
Ndugu mashabiki ziko tetesi nyingi sana kuhusu wachezi wetu kuchukuliwa na timu zingine zinazojiita kongwe naomba kuwaeleza kuwa wachezaji wetu wana mikataba kisheria hivyo basi hadi sasa hakuna timu hata moja iliyo jitokeza kwenye uongozi kuonyesha nia hiyo club haina taarifa yeyote kuhusu ombi la kununua mchezaji na pia hatuna mpango huo kwa sasa tunasimama katika sheria ondoeni hofu tutakuwa imara zaidi msimu ujao.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top