Unknown Unknown Author
Title: MATOKEO SIMBA NA YANGA;AZAM NA JKT RUVU YAPO HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mechi ya Simba na Yanga iliyokua ikichezwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam imekamilika kwa sare ya 1-1 huu ni mchezo wa mwisho wa...


Mechi ya Simba na Yanga iliyokua ikichezwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam imekamilika kwa sare ya 1-1 huu ni mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara,goli la Yanga lilifungwa na Simon msuva dakika ya 86 upande wa Simba ilipata goli dakika ya 75 kupitia Haroun Chanongo.
Uwanja wa Azam Complex Chamazi goli alilofunga Brian Umony limeipa Azam ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Ruvu,Azam imemaliza Ligi Kuu na pointi 62 wakati Yanga imemaliza na pointi 56 ambayo imewafanya kushika nafasi ya pili hivyo kuwafanya Azam FC kuwa mabingwa wa Ligi Kuu  2013/2014.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top