Unknown Unknown Author
Title: MJUE MBUNGE MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
@Mjumbe Sr Mbunge Teddy Ladislaus Patrick (21), ndiyo mbunge mdogo kulioko wote katika bunge maalum la katiba linaoendela na vikao v...

@Mjumbe Sr

Mbunge Teddy Ladislaus Patrick (21), ndiyo mbunge mdogo kulioko wote katika bunge maalum la katiba linaoendela na vikao vyake mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mh. Samuel Sitta akimuapisha Theddy L. Patrick kuwa mbune wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati.

Mbunge Theddy L. Patrick akiwasikiliza Wajumbe wengine wa bunge hilo, Mh. Betrice Shelukindo (kulia) na Mh. Hamad Rashid.(Picha na Willium Malecela).
    

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top