Unknown Unknown Author
Title: LUDEWA:TANESCO ILIPO TEMBELEA WATEJA WAKE WATARAJIWA....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha Hii Ilipigwa Sekondari ya Mundindi Mwanzoni mwa Mwezi Mei 2014 Kwenye Mlango wa Kuingilia STAFF ya Walimu. Kibandiko hicho kime we...
Picha Hii Ilipigwa Sekondari ya Mundindi Mwanzoni mwa Mwezi Mei 2014 Kwenye Mlango wa Kuingilia STAFF ya Walimu.

Kibandiko hicho kime wekwa Sike chache tu na wafanya kazi wa TANESCO Kuashiria kuwa Siku za Usoni Wana mpango wa Kuleta Umeme Shuleni na Kijijini Hapo.

Picha Na Mpiga Picha Wetu

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top