Unknown Unknown Author
Title: MATUKIO PICHA:MEI MOSI YA MWAKA HUU... ILINIKUTA SUMBAWANGA! KILIO CHA WAFANYAKAZI NI KILE KILE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
     Hili Bango Nalo Lilibebwa na Wafanyakazi  Siku ile Nahapa nilivutiwa na Sare za Walimu Mwaka huu,haikosi wakipanda daladala wata...

     Hili Bango Nalo Lilibebwa na Wafanyakazi  Siku ile
Nahapa nilivutiwa na Sare za Walimu Mwaka huu,haikosi wakipanda daladala watalipa Nauli ya Mwanafunzi.

 

Lango kuu la Nelson Mandela Stadium Rukwa
   Taswira Jukwaa kuu Kama Kamera yetu ilivyo Nasa.
   Baadhi ya wafanyakazi walio jitokeza Katika Sherehe za Mei mosi,Rukwa
   Zawadi zikitolewa kwa Watumishi Mabali mbali
Baadhi ya Watumishi Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Watumishi  Wenzao Walio Pata Zawadi

Pichani ni Wazee Wakifukuza Kuku na Kumkamata katika Uwanja wa Nelson Mandela,Sumbawanga
 
   Akina Bibi Nao hawakuachwa Nyuma walifukuza Kuku na Mshindi Kujiondokea na Jogoo lake
   Burudani ya Kiasili zaidi nayo Haikuachwa Nyuma,Hii ni Ngoma ya Shanji

Mdau wetu wa MJUMBE BLOG Anaye Ishi Kijijini ama Nje kidogo na Barabara ya Lami amebahatika kuchuka Matukuio Machache  tu Katika Viwanja vya Nelson Mandela Mkoani Rukwa.

Asante ya Picha Zote kwa Hisani ya Kamera Yetu

MJUMBE Sr
SUMBAWANGA/RUKWA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top