Unknown Unknown Author
Title: MJUE MPIGA NGOMA MASHUHURI NCHINI AMBAYE MIDUNDO YAKE IMEKUWA IKITUMIKA RTD/TBC KUASHIRIA KUANZA KWA TAARIFA YA HABARI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
@ Ado Shaibu VITABU VINAPOFELI Vitabu vinapofeli kutupatia taarifa za kutosha kuhusu jambo au mtu fulani njia inayofaa ni kuanza ...
VITABU VINAPOFELI
Vitabu vinapofeli kutupatia taarifa za kutosha kuhusu jambo au mtu fulani njia inayofaa ni kuanza kulichimbua jambo au mtu huyo kwa njia nyingine. Masimulizi ya wazee wetu ni moja ya njia hizo.
Pichani ni mimi na vijana wenzangu Diana Kamara na Seif Abalhassan tulipomtembelea mzee Raphael Nyunyusa ili kujifunza na kupata maelezo ya kina kuhusu maisha na kipaji cha Baba yake Marehemu Mzee Morris Nyunyusa mpiga ngoma mashuhuri katika historia ya nchi yetu ambaye midundo ya ngoma zake imekuwa ikitumika Radio Tanzania Dar es Salaam- RTD ( Sasa TBC ) kuashiria kuanza kwa taarifa ya habari.
Shukrani za pekee kwa Maua Peter kwa kufanikisha tukio hili.
Watanzania wenzangu mnamkumbuka Mzee Nyunyusa?



Asante ya Picha Na Maelezo kwa Ndg Ado Shaibu

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top