Unknown Unknown Author
Title: TAIFA STARS TAYARI KUKABILIANA NA MALAWI JIONI YA LEO SAA 11!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kikosi cha timu ya Taifa. Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imewasiri leo asubuhi majira ya saa 4 tay...

Kikosi cha timu ya Taifa.
Kikosi cha timu ya Taifa.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imewasiri leo asubuhi majira ya saa 4 tayari kuwakabiri wageni wao Malawi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi hicho kimetua kujipima nguvu na Malawi ikiwa ni majaribio kabla ya kucheza na Zimbabwe katika mchezo wa marudiano wa kusaka nafasi ya kuingia hatua ya makundi ya kombe la mataifa ya Afrika mwakani.
Stars imetua leo ikitokea jijini Mbeya ambapo ilikuwa imekita kambi Tukuyu kwa maandalizi ya michezo inayo ikabiri timu hiyo ikiwemo ya leo itakayo pigwa majira ya saa 11 jioni.

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top