Unknown Unknown Author
Title: UNAKUM BUKA VIPI KUHUSU ELIMU YA KUCHORA CHINI NA HADITHI ZA JUMA NA ULEDI?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nikiwa katika mizunguko yangu nakutana na watoto hawa..napata shauku ya kuwauliza maswali ya kichokozi..!Nilimuuliza wa kwanza..wewe ukikua ...
Nikiwa katika mizunguko yangu nakutana na watoto hawa..napata shauku ya kuwauliza maswali ya kichokozi..!Nilimuuliza wa kwanza..wewe ukikua unataka kuwa nan?akanjibu..dakitari..mawazo na ndoto nzuri za hawa tanzania ya kesho!
Vip wewe mdau wa Mjumbe blog ulikua na ndoto gani enz hizo?
 
Hapa ni maeneo ya morogoro na niseme tu ili ndoto za vijana hawa wachanga zitimie basi mchango wetu wa kimawazo ya kuwajenga na kuwamulikia njia ni jukumuletu sote.
Mjumbe Jr
Morogoro

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top