Title: ANUSURIKA KUUAWA:KWA TUHUMA ZA WIZI WA PIKIPIKI "POLISI WAMWOKOA MIKONONI MWA WANANCHI WENYE HASIRA'
Author: Unknown
Rating 5 of 5
Des:
Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodabod...
Askari
polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana
mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao
walikwishaanza kujichukulia sheria mkononi kwa kumuadhibu baada ya
kutaka kuiba pikipiki.
Askari
katika ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika
kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine
wakilazimisha kuingia ili kumfuata mwizi wao wa pikipiki.Madereva hao walionekana kukerwa na kuzuiwa kumuadhibu kijana huyo na hapa walionekanawakilalamika.Jamaa wa nje akatamani kupita katikati ya Nondo hapa. Geti likafungwa na hakuna mtu kuingia tena. Watoa Taarifa wame eleza kuwa Tukio hilo lime tokea Mkoani Moshi.
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Post a Comment