Unknown Unknown Author
Title: MHE.RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUGA MWILI WA MFANYAKAZI WA IKULU MAREHEMU ERNEST B NGEREZA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais Kikwete akijumuika na waombolezaji wengine katika kanisa lililopo Muhimbili kuuaga mwili wa aliye kuwa mfanyakazi wa Ikulu Ndg Ernest...
Rais Kikwete akijumuika na waombolezaji wengine katika kanisa lililopo Muhimbili kuuaga mwili wa aliye kuwa mfanyakazi wa Ikulu Ndg Ernest Ngereza Aliye Fariki Junu 05/2014 na kuagwa June 6/2014
Mhe.Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya Njeneza lililo beba mwili wa Ernest Ngereza aliye kuwa Mfanya kazi wa Ikulu jana June 06/2014 katika Kanisa lililopo katika Hospitali ya Muhimbili.
Picha Zote Na:IKULU

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top