Unknown Unknown Author
Title: MWILI WA MAREHEMU MAMA ZITTO KABWE UKISAFIRISHWA KWENDA KIGOMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bi Shida ambae ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alifariki dunia hospitali Dar es salaam June 1 2014 alikokua amela...
Screen Shot 2014-06-02 at 3.06.14 AMBi Shida ambae ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alifariki dunia hospitali Dar es salaam June 1 2014 alikokua amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU)
Screen Shot 2014-06-02 at 3.02.36 AM
Zitto kabwe akiwa na Profesa Ibrahimu Lipumba pamoja na watu wengine wakati wa kuuaga mwili wa mama Zitto aliyefariki June 1 2014.
Screen Shot 2014-06-02 at 3.09.02 AM
Profesa Ibrahimu Lipumba akijadili jambo mwili kupakiwa kwenda Kigoma.
Screen Shot 2014-06-02 at 3.09.58 AM
MILLARD AYO

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top