Unknown Unknown Author
Title: SAMAHANI PICHA ZINA TISHA MNO:KIJANA ACHOMWA MOTO HADI KIFO AKITUHUMIWA MWIZI,MBOZI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani juu:Mtuhumiwa wa wizi akiwa amesha washwa Moto na wananchi wenye hasira kali na Kuzungushiwa tairi mwilini mwake Pichani juu Po...
Pichani juu:Mtuhumiwa wa wizi akiwa amesha washwa Moto na wananchi wenye hasira kali na Kuzungushiwa tairi mwilini mwake
Pichani juu Polisi walipo fika eneo la tukio na kukuta Tayari watu wasiojulikana wamesha Mchoma mtuhumiwa wa wizi mtaa wa Mabatini Mlowo.

Mashuhuda walio kuwepo eneo la Tukio wali mtuhumu kijana aliye kamatwa kwa Wizi wa Vitu Mbali mbali kwa Baadhi ya Majirani,vikiwemo vifaa vya Madukani na Majumbani alivyokamatwa navyo.
Mashuhuda hao walio kuwa wakilalamika Kukithiri kwa Vitendo vya udokozi na wizi kwa siku kadhaa mfululizo Mtaani hapo walidai kuwa ni ndani ya mwezi mmoja Wamekuwa wakiibiwa na Kuvunjiwa nyumba zao,Suala ambalo lilipelekea minong,ono na kutoaminiana baina ya majirani wenyewe kwa Wenyewe na kuamua kuweka mikakati ya kiuchunguzi na kushirikishana kulinda ambapo hadi jana usiku walipo fanikiwa kumkamata Mtuhumiwa huyo akijaribu kutorosha baadhi ya vifaa ambavyo alikuwa anatuhumiwa kuwa aliviiiba na kuvificha kwenye chumba alicho kuwa akiishi vikiwemo CD,Kompyuta,Vifaa vya Dukani na Vitu mabalimbali.
Tukio Hilo la kusikitisha Limetokea mji mdogo wa Mlowo,Mbozi Mtaa wa Mabatini Mida ya Saa tano Usiku jana.

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top