Sunday, June 8, 2014
BREAKING NEWZ MZEE SMALL AFARIKI DUNIA
Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la
Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda
mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye,
Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI
PEMA PEPONI. AMEN!
MJUMBE Sr

Post a Comment