Unknown Unknown Author
Title: UKATILI MWINGINE TENA:PICHA NA MAELEZO;KICHNGA CHATUPWA JALALANI... ...MAMA YAKE AKAMATWA NA JESHI LA POLISI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwili wa kichanga. Mama anayedaiwa kutupa kichanga akiwa na mwanae wa kwanza.   Difenda la polisi likiwa eneo la tukio kuc...


Mwili wa kichanga.

Mama anayedaiwa kutupa kichanga akiwa na mwanae wa kwanza.
 
Difenda la polisi likiwa eneo la tukio kuchukua mtuhumiwa na mwili wa kichanga.
MWILI wa kichanga umeokotwa eneo la Njiro jijini Arusha juzi baada ya kudaiwa kutupwa na mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja.
Baada ya kichanga hicho kuokotwa, wananchi walitoa taarifa polisi waliofika na kufanikiwa kumkamata mama mwenye kichanga hicho.
 
MJUMBE Ss

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top