Unknown Unknown Author
Title: UNGEMUONA MTOTO NASRA KWENYE BOKSI UNGEFANYA NINI? TAFAKARI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama kuna kitendoa ambacho kimewashtua, kuwasikitisha na kuwaumiza ...



Kama kuna kitendoa ambacho kimewashtua, kuwasikitisha na kuwaumiza Watanzania wengi wiki hii ni habari ya mtoto ambaye inadaiwa alikuwa anaishi kwenye boksi tangu akiwa mdogo sana na kumsababishia madhara makubwa ya kimaumbile na hatimaye kumsababishia kifo. Mtoto huyu Nasra Rashid amegusa mioyo ya watu wengi lakini pia ametufanya tujiulize maswali mengi kuhusu Mama Mlezi (dada wa marehemu mamake) lakini pia zaidi kuhusiana na Babake mzazi ambaye alijitokeza baadaye (pichani mama mlezi na babake mzazi). Majirani ndio inasemekana walilifichua jambo hili lakini inaonekana walikuwa wanajua uwepo wa mtoto huyu kwa muda mrefu.

Je, kama wewe ungeona mtoto anatendewa hivi ungechukua hatua gani? Je, umewahi kuona mtoto anatendewa vibaya na ukaingilia kati? Au tunaonekana tumeguswa kwa sababu mtoto amekufa? 
Tafakuri:Mali ya Mimi Mwanakijiji
 
MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top