Kamati
ya Uchaguzi ya Simba imemuondoa kabisa Michael Wambura katika mchakato
wa uchaguzi wa Simba kwa madai kuwa amevunja taratibu za uchaguzi.
Kamati
hiyo imeeleza kuwa TFF haina mamlaka kikatiba kusimamisha uchaguzi wa
Simba kwa hiyo uchaguzi huo utaendelea kama ulivyopangwa kufanyika June
29 mwaka huu.
Post a Comment