DIAMOND PLATNAMZ ASHINDINDA TUZO YA KOLA KAMA BEST MALE ARTIST OF EAST AFRICA!
DIAMOND ASEMA
"Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!!
http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Post a Comment