Ripoti za Hispania zinasema Jezi zipatazo 900 za James Rodriguez ziliuzwa ndani ya ndani ya saa moja tangu zilipoingia rasmi sokoni ambapo zimeuzwa kwenye duka la Real Madrid na imeonyesha kiasi gani raia huyu wa Colombia anavyokubalika.
Rodriguez ametua Madrid akitokea AS Monaco huku akiwa ndiye mfungaji bora wa Kombe la Dunia nchini Brazil 2014 baada ya kutokana na magoli 6 aliyofunga.
MILARD AYO.COM
Post a Comment