MKAZI WA MBEYA/MBOZI:JE UNAHITAJI KIWANJA,NYUMBA,MASHAMBA AU UNAHITAJI KUCHOREWA RAMANI YA NYUMBA NA KUBUNI BUSTANI INGIA HAPA UTIMIZIWE NDOTO YAKO!!
Na:Albert ChenzaSWEETHOME REAL ESTATE
·
Je unaifahamu kampuni ya SWEETHOME REAL ESTATE "Call It Home" ?
Ni kampuni ya kitanzania isiyo ya kiserikali yenye makao yake makuu mjini Vwawa wilayani Mbozi jijini Mbeya inayojishughulisha na biashara za Real estate (tunanunua na kuuza nyumba, viwanja na mashamba. Tunachora ramani za nyumba na kubuni bustani, tunapima maeneo kwa ajili ya kutengeneza hati miliki, tunatengeneza ruvaz, tofali za pavement tofali na block maalum za EcoSWEETHOME hyrafom na nguzo maalum za fensi, tunajenga, tunasimamia majengo na kukarabati (estate management) na kutengeneza garden nk).
SWEETHOME REAL ESTATE "Call It Home" ndiyo waandaaji wa bonanza kubwa la michezo la BRING YOUR HEART BACK TO LIFE 2014 kupitia kamati yake kabambe ya maandalizi kama baadhi ya wajumbe wanavyoonekana katika picha ya pamoja dakika za mwisho za maandalizi
Unaweza kuwapata kwenye ukurasa na group lao la Facebook SWEETHOME REAL ESTATE "Call It Home" au email: real.sweethome@yahoo.com au simu: 0758001111/0763194683 au ofisi zake zilizoko Vwawa mtaa wa Independence mkabala na benki ya Nmb
MJUMBE Sr
Post a Comment