PICHA:AJALI ILIYO TOKEA LEO JIJINI DAR;
UZEMBE WA MADEREVA NDIYO CHNZO CHA AJALI NYINGI TANZANIA. HII IMETOKEA BUNJU A DAR-SALAAM.
DEREVA WA LORI ALITAKA KULIPITA GARI DOGO LILILOKUWA MBELE YAKE WAKATI HUO HUO GARI HILO DOGO LILIKUWA LINAKATA KONA HIKI NDICHO KILICHOTOEA. BAHATI NZURI HAKUKUTOKEA KIFO KATIKA AJALI HII....
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu
Pia Una weza Kututembelea Moja kwa moja Mtandaoni kwa Kuandika Neno MJUMBE BLOG ili Upate Matukio Picha na Habari Mbalimbali zilizo jili!
MJUMBE Sr
Post a Comment