Baada ya kusambaa kwa picha hiyo mitandaoni uongozi na wafanyakazi wa hotel hiyo wameshangazwa na picha hiyo kwa sababu hakuna janga lolote la moto lililotokea.
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa kujua haswa picha hiyo ilipoanzia kusambaa ili kuweza kuwatambua walioanza kuzisambaza picha hizo.
Chanzo:Milard ayo
Post a Comment