Huu ni moja kati ya vitu vingi vinavyobuniwa na wanafunzi wa chuo cha ufundi VETA.Hii hapa ni drier inayotumika kukausha mavazi kama inavyoonekana pichi,Mimi mwenyewe nimeapreciate ubunifu huu na unaweza kutumiwa na wananchi wa hali ya chini aidha kama biashara ya kumuingizia kipato au kwa matumizi ya nyumbani.
Picha na kamera yetuMDAU WETU UNAONA NINI KATIKA PICHA HII?
Title: MDAU WETU UNAONA NINI KATIKA PICHA HII?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Huu ni moja kati ya vitu vingi vinavyobuniwa na wanafunzi wa chuo cha ufundi VETA.Hii hapa ni drier inayotumika kukausha mavazi kama inavyoo...
Post a Comment