Title: MWANAMUZIKI P DIDDY ATUMIA KISWAHILI KWENYE PAGE YAKE KWENYE INSTAGRAM..SOMA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5
Des:
Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelso...
Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram ‘madaraka kwa watu’
Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuweka hashtag ya #SIMBA
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Post a Comment