Waziri Mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda amewasili mkoani Mwanza ambapo leo Agosti 8 atakua mgeni rasmi kwenye kilele cha maonyesho ya wakulima nanenane na hapa anasalimiana na Naibu waziri wa kilimo,chakula na ushirika Godfery Zambi na wapili kushoto ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Anthony Diallo
Na Mjumbe JR
Post a Comment