PICHA:MV SONGEA MZIGONI BANDARI YA MANDA HII!
Picha na Mdau wa MJUMBE BLOG
Picha Ilichukuliwa Bandari ya Manda,Ludewa,Njombe
Kutokana na Changaomto za Kiusafiri Kupitia Ziwa Nyasa Zilizo Kuwepo Hapo Awali,Kulitokea Kustishwa Kwa Safari za Meli Ziwani humo,Lakini Sasa Ngoma Inogile! MV SONGEA Ipo Mzigoni na Safari Zina Endelea Kama Kawaida.
Abiria Unayo Fursa ya Kusafiri kupitia Ziwa Nyasa Ukitokea Songea Mpaka Kyela Bila Wasiwasi.
KARIBUNI NSUNGWI,MANDA!
MJUMBE WETU
Post a Comment