Unknown Unknown Author
Title: PICHA:UHARIFU:MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AVAMIWA NA KUUMIZWA VIBAYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mjumbe wa Bunge maalumu la Katiba amevamiawa na Vijana ambao inasemekana ni mashabiki wa Chama cha kimojawapo cha siasa nchini;Mbunge huyo...
Mjumbe wa Bunge maalumu la Katiba amevamiawa na Vijana ambao inasemekana ni mashabiki wa Chama cha kimojawapo cha siasa nchini;Mbunge huyo kutoka kundi la 201,Ndg Thomas Magoli amelazwa katika Hospitali ya Mkoa Wa Dodoma baada ya Kufanyiwa Kitendo hicho cha kihalifu Jana Usiku maeneo ya Area D,Dodoma! Endelea kututembelea ili kupata taarifa kamili kupitia mtandaoni kwa kuandika neno MJUMBE BLOG na kuingia hapo.
12 Aug 2014

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top