Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA KUTOKA KIJIJINI:PICHA MBILI TOFAUTI ZIKIONESHA UJASIRIA KAZI NA MAKAZI YA BINADAMU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Mzee Akiwa Anatimbeza Vyungu Mtaani Kama Alivyo Kutwa na Kamera Yetu Pichani ni Makazi ya Mwanakiji Katika Moja ya Mikoa ya Tan...
Pichani ni Mzee Akiwa Anatimbeza Vyungu Mtaani Kama Alivyo Kutwa na Kamera Yetu
Pichani ni Makazi ya Mwanakiji Katika Moja ya Mikoa ya Tanzania Mwaka 2014 Kama Yalivyo Naswa na Kamera Yetu ya Kijijini Naam Zitakua ni kama zile ndoto za buasi Kama Wana nchi wa Kijijini Hawata Tazamwa kwa Umuhimu wa Pekee na Serikari.Hawa ndio wazarishaji wakubwa wa Mazao yatokanayo na Kilimo. Imeshuhudiwa miaka nenda rudi Vijiji Vikikosa Vijana ambao Mara Nyingi Hukimbilia Mijini ili Waweze kufanya vibarua mbalimbali kutokana na Kukosa Ajira Rasmi katika Vijiji Watokavyo.Hii ni changamoto iliyo ndani ya Uwezo wetu kama Wa Tanzania,Inawezekana Tukatengeneza Fersa mbalimbali Vijijii na Tukawafanya Vijana Wetu wawe Tayari Kurudi vijijini kwa Hiari yao na Kupunguza Nguvu inayo Tumika na Migambo Kila Uchao Kufukuzana na Vijana hao. Pia Makazi Mengi ya Wananchi wa Kijijini bado yana kabiliwa na Changamoto nyingi ikiwemo na Kuwepo kwa Numba za nyasi Mpaka Leo,Kukosa Huduma Nzuri ya Vyoo na Nyingi Kuwa za Misimu Michache tu ya mvua ambapo Kila mara Mwenye Makazi inamlazimu aandae Nyasi na Miti ya Kujengea Nyumba.Hii Nayo ni Changamoto pia,na ni Ishara ya Kuwepo UMASIKINI Miongoni mwa Wana kijiji nchini Mwetu.Kweli Haiwezekani kuifuta hali hii Bali inawezekana kuipunguza kwa kuwa Punguzia wana vijiji Makali ya Maisha. Sisi Tuna Amini Picha Halisi Ina weza Ikajieleza Zaidi Kuliko Tunge Subiri aje MWANDISHI WA HABARI Aandike Hata Maneno Milioni Moja Kuhusiana na Picha Hizo Hapo Juu. MJUMBE BLOG Tumedhamiria Kuhifadhi Picha Hizi Mtandaoni Kwa Manufaa ya Kizazi Kijacho na Kwa Manufaa ya Kuienzi Histotria Yetu.Na Sio Vinginevyo. Hatukuja Kupora Kazi na vyeo vya Watu Hapa. PICHA NA MAELEZO YOTE NA MDAU WA MJUMBE BLOG!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top