Mdogo wangu Theofrida,nakumbuka kuna mwaka amewahi nambia "kaka yani Fedha huwa haitoshi ksmwe.Kila unapo ongeza kipato na matumizi yake yanaongezeka! Maneno haya ali yaongea Zamani sana naamini yeye atakuwa kasha yasahau leo.Nataka nisemaje? Maisha ni popote pale chamsingi usikae bure! Vijana Tujishughulishe bila kungoja fadhira za kazi rasmi tuoneshe nia kwanza;kisha tulenge juu zaidi ipo SIKU TUTA FANIKIWA TU.Kijana pichani Amekutwa Njombe stendi Leo akiwa ofisini kwake.HAPa ana ingiza nyimbo kwenye simu na kurekebisha matatizo madogo madogo kwenye simu.Asante ya picha Kamera yetu ya MJUMBE BLOG
Home
»
»Unlabelled
» WATU NA OFISI ZAO BWANA! SALUTE SANA WAPIGANAJI POPOTE PALE MLIPO!
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment