Sifuatilii kabisa BMK! Na waka sina haja ya kujua kuhusu upigaji kura.Kwasahabu nilipo Amua kutoshiriki nilijua Katiba mpya haipo.Wapatr 2/3 au la.
Alicho Andika HECHE pia
Endelea Zaidi:
Kwa Mjibu wa Tangazo la jana 29 Sept 2014 mhe.Sitta alisema;
Jumla ya wabunge Wote wa 619
Wanao toka Tanganyika 429
Wanao toka Zanzibari 210
SASA TUANGALIE ZANZIBAR PEKEE YA
Theluthi Mbili ya 210 ni 140
Theluthi Moja ya 210 ni 70
Hapo ina maana kuinyima rasimu ya katiba thelusi mbili ya Chenge ina takiwa zaidj ya Kura 70 za HAPANA!
Kwamaana ziki patikana kura 70 za HAPANA Katiba ya Zanzibar haita patikam
Sasa Naomba tuhesabu pamoja miongoni mwa Wabunge 210 wanao toka Zanzibar
Wawakirishi wa C.U.F Zanzibar 33
Wabunge wa CUF Zanzibar ni 25
Wabunge wa CHADEMA Z
Wana UKAWA wanao toka Zanzibar miongoni mwa kindi la Wateuliwa wa Rais no 5
Jumla ya Wana UKAWA Kutoka Zanzibar ni 67
Walio piga kura ya HAPANA wazi ni 7
Ambao Hawakupiga Kura lakini Walikuwepo Bungeni 2(mwanasheria Mkuu wa SMZ Othuman Masoud na Mjumbe Abdala
Jumla kuu ya Kura ya Wazi ya Hapana 7 na Walio kataa kupiga kura 2 na wana UKAWA ni 67
Ambapo Jumla yake kuu ni 76
Ili katiba ipite ina hitaji Thelusi mbili ya Wajumbe wote ambapo Zanzibar Pekee yake ina Wajumbe 210 na Thelusi Mbili hake ni
Ukichukua Wajumbe 210 ukitoa na Wajumbe 76 walio piga kura ya HAPANA Unapata Kura 134.
Hivyo basi hata kama watakao piga kura ya Siri wote Wata Piga kura ya NDIYO Jumla yao ni 134 na wana shindwa kufikia 140 ambao ndio wana hitajika ili kupitisha Katiba!
Kwa Lugha nyepesi Shuhuli
IMESHA BUMA.
Credit ya Ukokotozi wa Hesabu Hizo ni ISMAIL JUSA!
Kupia ukurasa wake wa fb.
Endelea kututembelea MJUMBE BLOG kupitia Mtandaoni moja kwa moja ili Ufaidi Update ya Picha,Habari na Matukio mbali mbali ndani ya jamii yetu na nje ya nchi mara kwa Mara.
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment